Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mabadiliko ya hali ya hewa yanawalimu watu kwenye hatarini:UNHCR

Mabadiliko ya hali ya hewa yanawalimu watu kwenye hatarini:UNHCR

Ripoti mpya inayotokana na ushahidi wa wakimbizi bifasi kutoka Afrika ya Mashariki inaonyesha kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yanaweza kuwadhoofisha watu zaidi na pia kuchangia kuwalazimu kuhamia maeneo ya migogoro, na hatimaye kuvuka mipaka na kukimbilia nchi nyingine.

Ripoti hiyo imewasilishwa kwenye mkutanowa Rio+20 na Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres.

Imechapishwa na shirika la UNHCR na Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa kwa ushirikiano na vyuo vya Bonn na London School of Economics. Jason Nyakundi

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)