Masuala ya mifugo na sayansi yapewe kipaumbele Rio+20
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo endelevu yaani Rio+20 Jumatano ndio umeanza rasmi kwa viongozi wa serikali na waku wan chi kutoa hotuba.
Muafaka wa matokeo ya mktano huo uliafikiwa Jumanne , suala ambalo dnia inasema hi hatua nzuri kelekea mafanikio.
DR Bridgit Syombua , ni mtaalamu wa mifugo kutoka nchini Kenya anawakilisha shirika lisilo la kiserikali yaani NGO lijulikanalo kama AWARD . Anahudhuria mkutano wa kimataifa wa maendeleo endelevu Rio+20.
Akizugumza na Radio ya Umoja wa Mataifa Dr Bridgit anfafanua kilichomleta Rio kwenye mkutano.
(SAUTI YA DR BRIDGIT SYOMBUA)