Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Brazil yachukua urais wa mkutano wa maendeleo wa Rio+20

Brazil yachukua urais wa mkutano wa maendeleo wa Rio+20

Mazungumzo ya mwiso kuhusu hati ya kisiasa ya mkutano wa Rio+20 yataongozwa naBra zil ambaye sasa amechukua rasmi urais wa mkutano kuhusu maendeleo endelevu.

Waakilishi wa serikali walimaliza awamu ya tatu na ya mwisho ya maandalizi yake kabla ya kuandaliwa kwa mkutano huo wakiwa wamekubaliana asilimia 40 ya hati hiyo.

Waziri wa mambo ya nje nchini Brazil Antonio Patriota anasema kuwa ana uhakika kuwa makubalaino yataafikia tarehe 18 mwezi huu ambapo alitaka kuwepo ushirikiano wa

pande zote kabla ya kuwasili kwa viongozi wa nchi.