Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uhifadhi wa misitu kusaidia kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia:FAO

Uhifadhi wa misitu kusaidia kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia:FAO

Misitu kote duniani ina nafasi muhimu katika hatua za kuweka uchumi mpya wenye kujali mazingira, kwa mujibu wa ripoti mpya ya FAO. Uchumi wenye kulinda mazingira ni mojawepo ya maudhui muhimu katika mazungumzo ya mkutano wa Rio+20 kuhusu maendeleo endelevu.

Lakini ili kufanya hili litimie, FAO inasema ni lazima serikali ziweke mikakati na sera ambazo zinalenga kufungua milango ya mchango huo wa misitu na kuhakikisha kuwa inadhibitiwa kwa njia endelevu. George Njogopa anaripoti: