Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ushirikiano mpya wa FAO na SESI kuendeleza elimu ya kupunguza uharibifu wa chakula

Ushirikiano mpya wa FAO na SESI kuendeleza elimu ya kupunguza uharibifu wa chakula

Shirika la Chakula na Kilimo duniani, FAO, hii leo limesaini mkataba wa ushirikiano na shirika la ki-Brazili la utoaji wa huduma za kijamii viwandani, SESI, ili kutumia mfumo wa Ki-Brazili ulopata ufanisi katika mataifa mengine.  Amerika ya Kusini, Karibea na Afrika, ili kuboresha lishe na kupunguza uharibifu wa chakula majikoni.

Tangu lilipobuniwa mwaka wa 2008, SESI limekuwa likiutumia mpango uitwao Brazilian Kitchen Program kuwafundisha watu jinsi ya kupika vyakula vyenye lishe bora, huku wakipunguza uharibifu wa chakula katika majiko yao. Jason Nyakundi anaripoti

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)