Watu milioni 11 wapoteza ajira zao ifikapo mwisho wa mwaka 2013:ILO

30 Aprili 2012

Idadi ya watu wanaopoteza ajira duniani inaendelea kuongezeka na hakuna dalili ya hali hiyo kuuimarika katika sik za usoni limesema shirika la kazi duniani ILO.

Katika ripoti yake ya mwaka ya mtazamo wa kazi duniani ILO inasema upatikanaji wa kazi hususani barani laya hatarajiwi kabla ya mwisho wa mwaka 2016 ila endapo kutakwa na mabadiliko makubwa ya sera. Ripoti inasema juhudi za serikali kote duniani kpunguza matumizi yao hazijakza wa la ksaidia sekta binafsi. Ripoti imeongeza kuwa wakati ukosefu wa ajira unaongeza kiwango cha umasikini duniani na nchi za Afrika zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki ya Kati na Afrika ya Kaskazini zilikabiliwa na tisho kubwa la machafuko 2011 ikilinganishwa na mwaka 2010 kutokana na ukosefu wa ajira. Raymond Torres ni mkurugenzi wa taasisi ya ILO ya masomo ya kimataifa ya ajira na ni mmoja wa walioandika ripoti hii.

(SAUTI YA RAYMOND TORRES)

 

Shiriki kwenye Dodoso UN News 2021:  Bofya hapa Utatumia dakika 4 tu kukamilisha dodoso hili.

♦ Na iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter