Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano kuhusu wakimbizi wa Afhanistan kuandaliwa Geneva

Mkutano kuhusu wakimbizi wa Afhanistan kuandaliwa Geneva

Shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR na serikali ya Uswisi wanafadhili mkutano wa siku mbili wa kimataifa mjini Geneva utakaojadili hali ya wakimbizi wa Afghanistan.

Huku suala la wakimbizi wa Aghanistan likiingia muongo wa nne kunahitaji kujitolea kwa mataifa katika kugawana mzigo wa wahamaiji na kuyasaidia mataifa mengine kutoa nafasi kwa watafuta hifadhi kunapotafutwa suluhu. Monica Morara na taarifa kamili.

(MONICA MORARA NA TAARIFA KAMILI)