Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yapiga hatua katika vita dhidi ya malaria

Tanzania yapiga hatua katika vita dhidi ya malaria

Tanzania imeanza kupata mafanikio kwenye juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa malaria,ugonjwa ambao unatajwa kuwa miongoni mwa unaosababisha vifo vingi.

Hayo yameelezwa hii leo jijini dare s salaam na wataalamu wa masuala ya afya, wakati wa uzinduzi wa ripoti maalumu juu ya hali ya ugonjwa wa malaria, tangu kuasisiwa kwa azimio la Abuja la mwaka 2000 lililopitishwa na viongozi wa ummoja wa Africa.

Maelezo zaidi lakini anayo George Njogopa aliyehudhuria uzinduzi wa ripoti hiyo.

(PKG NA GEORG NJOGOPA)