Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNRWA yasalimisha nyumba 223 zitakazokuwa makao ya wapalestina

UNRWA yasalimisha nyumba 223 zitakazokuwa makao ya wapalestina

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina UNRWA hii leo limesalamisha rasmi nyumba 223 zilizojengwa kutokana na ufadhili wa dola milioni 7.2 kutokana kwa serikali ya uholanzi ambazo zitakuwa makao kwa zaidi ya wapalestina 1300 wanaoishi kwenye kambi ya Younis kwenye ukanda wa Gaza. George Njogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)