Marekani kuondokana na kuwatia hatiani watu wasio na makazi

23 Aprili 2012

Wataalamu watatu wa haki za binadamu kuhusu umasikini uliokithiri, masuala ya nyumba, maji na usafi wamekaribisha ripoti ya Marekani ambayo inatambua kwamba kuwafanya kuwa wahalifu watu wasio na makazi kunaweza kukiuka haki za binadamu za watu wasio na makazi.

Utafiti uliofanywa na baraza la Marekani linalohusika na watu wasio na makazi na idara ya haki umelaani vikali kitendo cha kuwafanya kuwa wahalifu watu wasio na makazi na umependekeza njia na sera ili kupungza na kuzuuia hali ya kutokwa na makazi. Jason Nyakundi anaripoti.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud