Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Annan ataka kuondolewa kwa silaha za kijeshi kwenye maeneo ya raia nchini Syria

Annan ataka kuondolewa kwa silaha za kijeshi kwenye maeneo ya raia nchini Syria

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa na muungano wa nchi za kiarabu nchini Syria Kofi Annan amesema kuwa kuwa bado kumesalia silaha kwenye maeneo ya raia nchini Syria akiongeza kuwa kuondolewa kwa magari ya kivita kutoka maeneo hayo ni kati ya makubaliano yaliyoafikiwa na yanayastahili kutekelezwa.

Annan anasema kuwa Syria ni lazima ieshimu uhuru wa wananchi na kushiriki kwenye maandamano ya amani ambapo pia amewataka watu wa Syria kuruhusu kuwepo mazungumzo. Ahamd Fawzi ni msemaji wa Annan.

(SAUTI YA AHMED FAWZI)