Mengi yanahitaji kufanywa ili kukabiliana na ulanguzi wa madawa ya kulevya:Fedotov

16 Machi 2012

Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa inayopambana na madawa ya kulevya na uhalifu Yuri  Fedotov amesema kuwa mataifa yanastahili kufanya jitihada  za  kukabilina na ulanguzi na mahitaji ya madawa ya kulevya.

Fedotov anesema kuwa kuzuia, matibabu na kuwasaidia wanaotumia madawa hayo kuachana nayo ni kati ya masuala makuu yanayohitajika katika kupambana na matumzi ya madawa ya kulevya tatizo ambalo limetajwa kuangamzia  watu 250,000 kila mwaka.

 (SAUTI YA YURI FEDOTOV)

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter