Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Taka za elektroniki ni tatizo kubwa kwa nchi za Afrika:UNEP

Taka za elektroniki ni tatizo kubwa kwa nchi za Afrika:UNEP

Huku kukiendelea kushuhudiwa maendeleo katika nyanja za kiteknolojia nchi nyingi hasa zilizo kwenye bara la Afrika zimeanza kushuhudia matatizo makubwa ya kuingizwa na kurundikana kwa taka ya vyombo vya kila aina vya elektroniki , Suala ambalo ikiwa halitashughulikiwa mapema huenda likawa lenye madhara makubwa kwa mazingira na pia kwa afya ya binadamu. Jason Nyakundi ana maelezo zaidi.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)