Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umuhimu wa kuwawezesha Wanawake Vijijini

Umuhimu wa kuwawezesha Wanawake Vijijini

Kauli mbiu ya mwaka huu ya siku ya wanawake duniani ambayo ni kumuwezesha mwanamke wa kijijini, kwa mujibu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia masuala ya wanawake UN Women mchango wa mwanamke wa kijiji umekwa haupewi zito unaostahili ndio maana kauli mbiu ya hiyo imetolewa mwaka huu kutoa msisitizo wa kuthamini na kuenzi juhudi za wanawake wa vijijini katika maendeleo ya nchi zao. Je wananchi wenyewe wanasemaje kuhusu kauli mbiu hii? Hawa ni baadhi ya waakazi wa Afrika Mashariki.

(SAUTI KUTOKA AFRIKA MASHARIKI)