Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuwawezesha wanawake wa vijijini kuna umuhimu gani?

Kuwawezesha wanawake wa vijijini kuna umuhimu gani?

Kauli mbiu ya mwaka huu ya siku ya wanawake duniani ni kumuwezesha mwanamke wa kijijini, kwa mujibu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia masuala ya wanawake UN Women mchango wa mwanamke wa kijiji umekwa haupewi uzito unaostahili ndio maana kauli mbiu hiyo imetolewa mwaka huu kutoa msisitizo wa kuthamini na kuenzi juhudi za wanawake wa vijijini katika maendeleo ya nchi zao.

Je wananchi wenyewe wanasemaje kuhusu kauli mbiu hii? Hawa ni baadhi ya waakazi wa Afrika Mashariki.

(MAONI YA AFRIKA MASHARIKI)