Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wataalam wa UM wa maswala dharura kuchunguza hasara Brazaville baada ya mlipuko

Wataalam wa UM wa maswala dharura kuchunguza hasara Brazaville baada ya mlipuko

Wataalam wa majanga  wa Umoja wa Mataifa wametumwa kuchunguza kiwango cha uharibifu kufuatia mlipuko katika bohari la silaha jumapili.

Ambapo watu 200 walipoteza maisha yao huku 1,500 zaidi wakijeruhiwa vibaya.

Kiwango cha mlipuko huo bado haujabainika, lakini makaazi, majengo na miundo mbinu ya usafirishaji imeathirika.

Msemaji msaidizi wa UM Eduardo del Buey amesema kwama wataalam hao wanne ni kutoka  afisi ya ya maswala ya kibinadam (OCHA)