WMO yakaribisha matokeo ya mkutano wa radio duniani wa mwaka 2012

17 Februari 2012
Shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO hii leo limesema kuwa litalinda matumizi ya masafa ya radio yaliyomuhimu katika kuielewa dunia, anga na bahari na kupunguza hatari zinazotokana na hali ya hewa na maji. Mkutano wa 12 wa radio duniani ulitaka kutumika kwa ahadi za awali za mikutano kuhusu mawasiliano ya radio wakati kuna upungufu wa masafa ya radio duniani. George Njogopa na taarifa kamili.

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud