Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano kuhusu kuongeza soko kwa bidhaa za kilimo cha kitamaduni kuandaliwa

Mkutano kuhusu kuongeza soko kwa bidhaa za kilimo cha kitamaduni kuandaliwa

Maafisa wa ngazi za juu na wataalamu akiwemo mkurugenzi kwenye kitengo cha biashara ya kimataifa ya bidhaa na hudumu kwenye shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa Mataifa UNCTAD Guillermo Valles wanatarajiwa kujadili hatua zilizopigwa na vizuizi vilivyopo kwenye uuzaji wa bidhaa zinazotokana na kilimo cha kitamaduni.

Kati ya watakaozungumza kwenye mkutano huo ni pamoja na naibu mkurugenzi kwenye shirika la biashara duniani Harsha Singh, Naibu mkurugenzi wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP Alexander miongoni mwa wengine. George Njogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)