Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Shirikisho la soka Afrika na UM waungana kufunga bao kwa ajili ya amani na maendeleo

Shirikisho la soka Afrika na UM waungana kufunga bao kwa ajili ya amani na maendeleo

Mkuu wa ofisi ya siasa ya Umoja wa Mataifa Afrika ya Kati na Rais wa shirikisho la soka barani Afrika AFC wamekutana kujadili jinsi gani hamasa ya soka barani Afrika itasaidia kuchagiza amani na maendeleo Afrika ya Kati.

Katika mkutano wao wakati mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika likiendelea Gaqbon na Equatorial Guinea, Abou Mossa mwakilishi wa Katibu Mkuu nchini Afrika ya Kati na Issa Haytou Rais wa shirikisho la soka barani Afrika wameafikiana kuchukua hatua za pamoja kuchagiza amani na usalama Afrika ya Kati. George Njogopa anaarifu.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)