Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Luxemborg kutoa msaada wa Euro milioni 15 kwa UNRWA miaka minne ijayo

Luxemborg kutoa msaada wa Euro milioni 15 kwa UNRWA miaka minne ijayo

Serikali ya Luxemborg Jumatano imetangaza msaada wa Euro milioni 15 kwa miaka minne kwa shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Palestina UNRWA.

Tangazo la msaada huo ni ongezeko la Euro milioni 3.37 sawa na asilimia 36 ya mchango wake wa kila mwaka hadi mwaka 2015. Alice Kariuki na maelezo zaidi.

(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)