Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM wasema kuwa kambi mpya ya wakimbizi kutoka Iran inatimiza viwango vya kimataifa

UM wasema kuwa kambi mpya ya wakimbizi kutoka Iran inatimiza viwango vya kimataifa

Maafisa wa Umoja wa Mataifa wanaohusikia na masuala ya wakimbizi na haki za binadamu wamesema kuwa wamethibitisha kwamba miundo msingi na hali kwenye kambi mpya ambayo ni ya wakimbizi kutoka kwa kambi ambayo awali ilikuwa ikifahamika kama kambi ya Ashraf imetimiza viwango vya kimataifa kulingana na makubaliano kati ya Umoja wa Mataifa na serikali ya Iraq.

Umoja wa Mataifa na serikali ya Iraq walisaini makubaliono ya kuhamishwa kwa hiari kwa amelfu kadha kwa wakimbizi kadha kutoka Iran wanaoishi kwenye kambi hiyo. Shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linasema kuwa shughuli ya kuwahamisha wakimbizi hao