Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtaalamu wa haki za binadamu wa UM kuzuru Myanmar

Mtaalamu wa haki za binadamu wa UM kuzuru Myanmar

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Myanmar ameanza ziara ya siku sita Jumanne katika taifa hilo la Asia.

Tomas Ojea Quintana ambaye anatembeleaa Myanmar kwa mwaliko rasmi wa serikali amesema ziara yake inafanyika katika wakati aliouelezea kuwa ni muhimu sana kwa taifa hilo. George Njogopa anaripoti.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)