Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban azungumzia hali nchini Libya

Ban azungumzia hali nchini Libya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kuwa uwiano wa kitaifa ndilo suala kuu litakalochangia katika kuleta utulivu nchini Libya. Ban aliyasema hayo alipohutubia waandishi wa habari mjini Addis Ababa nchini Ethiopia wakati wa kikao cha Muungano wa Afrika AU. Ban amesema kuwa alifanya mazungumzo ya kina na waziri mkuu wa Libya.

(SAUTI YA BAN KI-MOON)