Washirika waahidi mpango wa pamoja wa kupambana na magonjwa kwenye sehemu baridi

30 Januari 2012

Makampuni ya madawa, Marekani, Uingereza, nchini za kiarabu, Wakfu wa Bill na Melinda Gates, Benki ya Dunia na mashirika mengine ya kiafya yametangaza mpango mpya katika jitihada za kuangamiza maradhi yanayopatikana zaidi kwenye maeneo baridi duniani kwa muda wa miaka kumi ijayo. Washirika hao waliahidi kushirikina ili kupambana na maradhi na kuboresha maisha ya watu bilioni 1.4 kote duniani ambapo wengi ni watu maskini zaidi duniani. Kundi hilo pia limetangaza kuongeza programu za misaada ya madawa ili kufikia mahitaji ifikapo mwaka 2020. Monica Morara na taarifa kamili.

(SAUTI YA MONICA MORARA)

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter