Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yapata fundisho kutokana na mafuriko ya Desemba:Tibaijuka

Tanzania yapata fundisho kutokana na mafuriko ya Desemba:Tibaijuka

Tanzania ambayo ilikumbwa na mafuriko makbwa mwezi Desemba inasema imepata fundisho kbwa kuhusu suala la mipango miji.

Mvua zilizonyesha siku tatu mfululizo zilisababisha mafuriko katika mji mkuu wan chi hiyo Dar es salaam na vinga vyake ambapo watu zaidi ya 20 walipoteza maisha, kharibu mindombinu na kuacha mamia ya familia bila makazi baada ya nyumba zao kubomolewa na mafuriko.

Alipozungumza na Flora Nducha waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi profesa Anna Tibaijuka anasema serikali yake iko katika mikakati ya muda mrefu khakikisha hali hiyo haijitokezi tena alipo

(MAHOJIANO NA ANNA TIBAIJUKA)