Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Dr Margaret Chan ateuliwa kuongoza WHO muhula wa pili

Dr Margaret Chan ateuliwa kuongoza WHO muhula wa pili

Dr Margaret Chan ameteuliwa Jumatano na bodi ya wakurugenzi ya shirika la afya duniani WHO kuongoza shirika hilo katika muhula wa pili. Mkurugenzi mkuu wa WHO ndiye anayesimamia masuala yote ya kiufundi na kitawala na kuangalia utekelezaji wa sera zote za WHO. Uteuzi huo utawasilishwa kwa ajili ya kupata idhini kwenye mkutano mkuu wa WHO utakaofanyika Geneva Mai 21-26 mwaka huu. George Njogopa anaripoti.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)