Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNCTAD na Palestina watia saini mkataba wa maelewano

UNCTAD na Palestina watia saini mkataba wa maelewano

UNCTAD na kitengo cha takwimu cha Palestina PCBS wametia saini mkataba wa maelewano Desemba mwaka jana wenye lengo la kuimarisha kitengo hicho katika masuala ya uchumi na utabiri.

Pia ushirikiano wa taasisi hizo mbili ni wa kusaidia uwezo wa mamlaka ya Palestina kuzalisha, kutathimini, na kutafsiri takwimu za mazingira, uchumi na kazi ambazo zitawaongoza kuunda na kutekeleza sera za kiuchumi na kijamii. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)