Wataalamu wakutana kujadili janga la njaa duniani

17 Januari 2012

Wataalamu kutoka sehemu mbali mbali za dunia wanakutana kwenye makao makuu ya shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa FAO mjini Rome kwa majadiliano ya siku kuhusu njaa duniani. Kati ya masuala makuu yatakayojadiliwa ni pamoja na kukadiria usalama wa lishe na athari za njaa.

Kabla ya mkutano huo kikao maalum kilifanyika kujadili hali ya njaa nchini Somalia na hatua zilizochukuliwa na jamii ya kimataifa. Mkutano wa mwisho uliofanyika mwaka 2002 ulipelekea kuwepo ushirikino wa kubaini viwango vya utapiamlo.

 

♦ Kutembelea ukurasa maalum wa COP26 bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter