Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

ITU yatunukiwa tuzo ya Emmy kwa viwango vipya vya utangazaji wa sauti

ITU yatunukiwa tuzo ya Emmy kwa viwango vipya vya utangazaji wa sauti

Taasisi ya kimataifa ya mawasiliano ITU imetunukiwa tuzo ya kifahari ya Emmy kutoka chuo cha Marekani cha sanaa ya televisheni na sayansi mjini Las Vegas Alhamisi hii kwa kuboresha viwango vya matumizi ya sauti za utangazaji.

Chuo hicho kimejikita katika kuboresha viwango vya utangazaji wa televisheni, ubunifu katika usanii na maendeleo ya elimu na mafanikio ya kiufundi katika Nyanja ya televisheni. George Njogopa anaarifu

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)