Zaidi ya watu 40 wafariki kutokana na ghasia za kikabila kaskazini mwa Kenya

5 Januari 2012

 

Zaidi ya watu 40 wameaga dunia kutokana na ghasia za vita vya kikabila katika mji wa Moyale kaskazini mwa Kenya, kwa mujibu wa msemaji wa shirika linalohusika na misaada ya kibinadamu la Umoja wa Mataifa (OCHA).

Shirika hilo linanasema mashambulizi ya kisasa inatokea mara nyingi kati ya za Borana na Gabra.

Mathew Conway, msemaji wa Ofisi ya Mkoa wa OCHA katika Afrika Mashariki anasema watu wanapigania ardhi kwa ajili ya malisho ya mifugo. (SAUTI YA MATHEW CONWAY)

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud