Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban aahidi kufanikisha kazi isiyowezekana

Ban aahidi kufanikisha kazi isiyowezekana

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amejitolea katika kufanikisha kile ambacho amekitaja kama kazi isiyowezekana. Akiongea wakati akianza awamu yake ya pili ya miaka mitano kama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban amesema kuwa changamoto zinazolikumba shirika la UM na wanachama wake 193 zitashindwa kama kutakuwa na ushirikiano kwenye Umoja wa Mataifa. Maha Fayek alimuuliza Ban lengo lake litakuwa ni lipi kwa muda wa miaka mitano ijayo.

(SAUTI YA BAN KI-MOON)

Akijibu swali la Maha kilichokuwa kigumu kwa kazi yake Ban alisema.

(SAUTI YA BAN KI-MOON)