Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kenya imeandaa mikakati kukabili NCD’s:Mugo

Kenya imeandaa mikakati kukabili NCD’s:Mugo

Waziri wa afya nchini Kenya Bi Beth Mugo akihuduria mkutano huo amesema magonjwa haya yana gharama kubwa kwa upande wa matibabu na wananchi, na serikali pekee hawawezi kukabilia bali mshikamano wa kimataifa unahitajika hasa katika kusaidia nchi masikini. Msikilize akizungumza na mkuu wa idhaa ya kiswahili ... Flora Nducha.

(MAHOJIANO YA BETH MUGO NA FLORA NDUCHA)