Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mikakati mbalimbali ya kujikinga na kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza

Mikakati mbalimbali ya kujikinga na kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza

Tanzania ni moja ya mataifa hayo na waziri wake wa Afya ni mheshimiwa Haji Mponda. Alipohudhuria wa Baraza Kuu alitembelea idhaa ya Radio ya UM na kuzungumza na Flora Nducha kuhusu suala la magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Wasikilize

(SAUTI YA MHESHIMIWA MPONDA NA FLORA NDUCHA)