Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake wajawazito waliothiriwa na dhoruba wapata usaidizi nchini Ufilipino

Wanawake wajawazito waliothiriwa na dhoruba wapata usaidizi nchini Ufilipino

Mfuko wa Umoja wa Mataifa kuhusu idadi ya watu UNFPA unataoa usaidizi kwa wanawake wajazito walioathiriwa na dhoruba iliyoikumba ufilipino majuma mawili yaliyopita.

Serikali ya Ufilipino inakadiria kuwa familia 92,000 au watu 640,000 wameathiriwa na dhoruba hiyo iliyoharibu majengo vikiwemo vituo vya kiafya. Henia Dakkak kutoka UNFPA anasema kuwa wanawake wajawazito ni kati ya walioathiriwa na ndio wanahitaji usaidizi.

(SAUTI YA HENIA DAKKAK)