Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwaka 2011 ni mwaka wa mabadiliko:UNAIDS

Mwaka 2011 ni mwaka wa mabadiliko:UNAIDS

Mwaka 2011 umetajwa kama mwaka wa mabadiliko hasa kwenye vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi. Suala la ukimwi limekuwa likionekana kuwa changamoto kubwa lakini sayansi, mchango wa kisiasa na kujitolea kwa jamii vimesababisha kuwepo kwa mafanikio katika vita dhidi ya ukimwi.

Mwaka mmoja uliopita wakosoaji walisema kuwa kupunguza hadi sufuri maambukizi, unyanyapaa na vifo vinavyosababishwa na ugonjwa wa ukimwi ni kama nembo tu. Mkuu wa shirika la kupambana na ukimwi la Umoja wa Mataifa UNAIDS Michel Sidibe anasema kuwa nchi washirika na watu kote duniani wamefanikisha lengo la UNAIDS. Alice Kariuki na taarifa kamili.

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)

CLIP