Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za uokoaji zaendelea kwa waathiriwa wa dhoruba nchini Ufilipino

Juhudi za uokoaji zaendelea kwa waathiriwa wa dhoruba nchini Ufilipino

Oparesheni za kutoa misaada ya dharura ikiwemo makao, maji, chakula na usafiri kwa sasa zinaendelea kwenye kisiwa cha Mindanao nchini Ufilipino kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na dhoruba kwa jina Washi iliyosomba vijiji.

Dhoruba hiyo ijulikanayo kwa wenyeji kama Sedong ilisomba takataka na udongo kwenda vijijini na miji miwili mnamo tarehe 17 mwezi huu na kuharibu karibu nyumba 13,000 na kuwalazimu zaidi ya watu 400,000 kuhama makwao. Hadi sasa ni watu 1249 walioripotiwa kuuawa.

(SAUTI YA