Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM na Iraq kuwahamisha maelfu ya wahamiaji kutoka Iran

UM na Iraq kuwahamisha maelfu ya wahamiaji kutoka Iran

Umoja wa Mataifa pamoja na serikali ya Iraq wametia sahihi makubaliano ya kuwahamisha maelfu ya wahamaiji kutoka Iran wanaoishi kwenye kambi kaskazini mashariki mwa nchi.

Makubaliano hayo yanaeleza kuwa serikali itawahamisha wenyeji wa Camp New Iraq kwenda kwa kituo ambapo shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR litaanza kuwawandikisha kama wakimbizi ambayo ni hatua itakayowawezesha kutafuta makao nje mwa Iraq. George Njogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA )