Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Majanga nchini Thailand

Majanga nchini Thailand

Mwaka 211 umekuwa pia ni mwaka wa majanga Thailand ikishuhudia mafuriko makubwa kuwahi kuikumba nchi hiyo kwa miaka 70, wakati Somalia nchi iliyoghubikwa na vita kwa miongo miwili sasa ikishuhudia ukame wa aina yake uliowafungisha virago watu milioni moja unusu Shirika la mpango wa chakula duniani WFP likaamua kufungua kituo cha lishe na kuwasaidia mamilioni ya wanaohitaji msaada. Josette Sheeran ni mkurugenzi mkuu wa WFP.

(SAUTI YA JOSETTE SHEERAN)