Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Matukio kwa wafanyakazi wa UM mwaka 2011

Matukio kwa wafanyakazi wa UM mwaka 2011

Walinda amani zaidi ya 40 wakapoteza maisha wakiwa kazini. Saba Afghanistan, 35 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye ajali ya ndege na 18 waliuawa Nigeria katika shambulio la kigaidi hali iliyomfanya naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha Rose Migiro kwenda huko.

(SAUTI YA ASHA ROSE MIGIRO)