Ombi la Palestina kuwa mwanachama wa UM

Ombi la Palestina kuwa mwanachama wa UM

Tukisalia Mashariki ya Kati pamoja na kwamba Wapalestina bado wanapigania haki ya kutaka kuwa taifa huru, walifarijika kiasi pale taarifa zilipotanda za Rais wao Mahmod Abbas a Abuu Mazin alipowasilisha ombi la kuwa mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa kwa Katibu Mkuu Ban Ki-moon.

(SAUTI YA MAHMOUD ABBAS)