Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Taifa jipya la Sudan Kusini

Taifa jipya la Sudan Kusini

Asilimia 99 ya wapiga kura wakaunga mkoto kujitenga , hatimaye hapo Julai 9 taifa jipya likazaliwa.

Wasudan Kusini wanasherehekea, mwaka 2011 umekuwa wa majonzi na simanzi, walindamani zaidi ya 120,000 wamesambazwa kwenye vitengo 16 duniani katika mabara 4.

Wainda amani zaidi ya 40 wakapoteza maisha wakiwa kazini. Saba Afghanistan, 35 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye ajali ya ndege na 18 waliawa Nigeria katika shambulio la kigaidi hali iliyomfanya naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha Rose Migiro kwenda huko.

(SAUTI YA ASHA ROSE MIGIRO)