Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wataalamu wa masuala ya haki wa UM wapinga kifungo cha Gao

Wataalamu wa masuala ya haki wa UM wapinga kifungo cha Gao

Wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamepingiza kuendelea kuzuiliwa kwa mwanasheria mashuhuri wa haki za binadamu wa kichina Gao Zhisheng ambaye alikamatwa mwaka 2006.

Wataalamu hao walilalamikia ripoti zilizosema kwamba mahakama moja mjini Beijing iliondoa uangalizi wa miaka miatano ambao Gao alikuwa anatumikia na kumpa kifungo cha miaka mitatu gerezani. George Njogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)