Muda wa vikosi vya kulinda amani Golan waongezwa

22 Disemba 2011

Baraza la usalama limekubaliana kwa kauli moja kurefusha mamlaka ya Umoja wa Mataifa katika milima ya Golan ili kufanikisha mpango wa amani baina ya Israel na Syria.

Vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Matiafa vipo kwenye eneo hilo vikiwa na shabaya moja kusaka suluhu ya kuduma kwenye eneo hilo.

Ikitangaza hatua ya kuongezewa muda kwa vikosi hivyo vya kulinda amani, baraza hilo la usalama limesema vikosi hivyo sasa vitaendelea kusalia huko kwa kipindi cha miaka sita mingine.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter