Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Matumizi ya mmea wa Khat kama dawa ya kulevya wazua matatizo ya kiafya nchini Djibouti

Matumizi ya mmea wa Khat kama dawa ya kulevya wazua matatizo ya kiafya nchini Djibouti

Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa matumizi ya mmea ujulikanao kama Khat limekuwa tatizo kubwa nchini Djibouti. Mmea huu unaotumiwa na idadi kubwa ya watu wazima nchini Djibouti unapandwa sehemu kadhaa za Afrika ya Mahsariki.

Mjumbe wa WHO nchini Djibouti Dr Rayana Bou-Haka anasema kuwa vijana wakiwemo pia wanawake wanatumia dawa hiyo kwenye taifa hilo la pembe ya Afrika na anasema...

(SAUTI YA DR. RAYANA BOU-HAKA)