Skip to main content

Mwanamke kutoka Uganda achaguliwa kufanya kazi kwenye mahakama ya UM

Mwanamke kutoka Uganda achaguliwa kufanya kazi kwenye mahakama ya UM

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama wamemchagua mwanasheria kutoka Uganda kujaza nafasi ya mwisho katika mahakama ya kimataifa ya haki ICJ ambayo pia hjulikana kama mahakama dunia ya Umoja wa Mataifa.

Bi Julia Sebutinde alipata kura nyingi kote kwenye Baraza Kuu na Baraza la Usalama, kitu kilichohitajika ili awe mgombea anayestahili wakati wa upigaji kura uliofanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)