Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza la CIS lajumuisha viwango vya ubora kutoka UNECE

Baraza la CIS lajumuisha viwango vya ubora kutoka UNECE

Baraza la ubora la jumuiya ya mataifa huru limejumuisha viwango vya ubora vya mwaka 2012 kutokanana na mapendekezo kutoka kwa tume ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ulaya UNECE.

Hatua hiyo iliyochukuliwa kwenye mkutano uliondaliwa mjini Baku tarehe 29 mwezi Novemba ni mwelekeo katika kutekeleza viwango vya UNECE kwenye kanda ya jumuiya ya mataifa huru. Kati ya nchi zitakazotumia viwangio hivyo ni pamoja na Azerbaijan, Belarus, Kazakhstan, Urusi, Tajikistan, Uzbekistan, Ukraine na Poland.