Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP na ENEL washirikiana katika kumaliza njaa na mabadiliko ya hali ya hewa

WFP na ENEL washirikiana katika kumaliza njaa na mabadiliko ya hali ya hewa

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP na kampuni ya kawi ya Italia ENEL wametangaza ushirikiano mpya wa kupambana na njaa pamoja na utapiamlo huku yakipunguza hewa chafu kupitia matumizi ya majiko yasiyochafua mazingira na kawi kutoka kwa jua.

Ushirikiano huo ambao utagharimu pauni milioni 8 ulizinduliwa kwenye mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa mjini Durban nchini Afrika Kusini ambapo kampuni ya Enel iliahidi kuunga mkono programu za kibinadamu na za kimazingiza za WFP. WFP tayari imesambaza majiko 140 nchini Sudan, Uganda, Sri Lanka na Haiti