Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mataifa ya Afrika yapiga hatua katika kupambana na Polio

Mataifa ya Afrika yapiga hatua katika kupambana na Polio

Nchi za bara Afrika zimepiga hatua katika kupambana na ugonjwa wa polio ugonjwa ambao huwaathiri watoto walio chini ya maiaka mitano na hadi kusababisha ulemavu.

Hii ni kulingana na meneja wa programu za kutoa chanjo kwenye ofisi ya shirika la afya duniani WHO barani Afrika Daktari Richard Mihigo. Dr Mihigo ameyasema hayo wakati alipohudhuria mkutano wa tatu wa kimaeneo kuhusu chanjo ulifanyika mjini Windhoek nchini Namibia.

(SAUTI YA DR. MIHIGO)