Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN Women yazindua sera za kukomesha ukatili dhidi ya wanawake

UN Women yazindua sera za kukomesha ukatili dhidi ya wanawake

Mkurugenzi mkuu wa UN-women Michelle Bachelet ameainisha sera za ajenda ya kimataifa ya kukomesha ukatili dhidi ya wanawake.

Ajenda hiyo inajikita katika masuala makuu matatu, kuzuia, kulinda na kutoa huduma. Alice Kariuki na taarifa kamili.

(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)