Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Asha Migiro na umihumu wa chama cha wanawake

Asha Migiro na umihumu wa chama cha wanawake

Naibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha Rose Migiro amesema kuwa kunahitajika kuwepo kwa sheria dhabiti na zinazotekelezwa. Akiongea kwenye mkutano wa chama cha wanawake na maendeleo mjini Addis Ababa nchini Ethiopia Migiro amesema kuwa chama hicho kinatoa moyo na kuashiria uwezo wa mwanamke wa kukabiliana na mambo magumu.

Amesema kuwa chama hicho kinaonyesha umuhimu uliopo katika utoaji huduma kwa waathiriwa na dhuluma za kijinsia. Monica Morara na taarifa kamili.

(SAUTI YA MONICA MORARA)